Mahitaji
Biringani 1 kubwa
Nyanya kaisi 4
Kitunguu maji kama utapenda lakini sio lazima
Kitunguu thom cha kusaga kiasi kjk 1 cha chai
Pilipili manga ya unga 1/4 mpaka 1/2 kjk cha chai
Unga wa uzile kiasi 1/4 - mpka 1.2 kjk cha chai
Pilipili nyekundu ya unga 1/4 mpaka 1/2 kjk cha chai
Chumvi kiasi
Pilipili mbichi kama utapenda
Maziwa ya mtindi mazito kiasi 3/4 mpaka kikombe
Kitunguu thom kilo sagwa na majani ya nanaa ( kama utapenda sio lazima)
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world