Basbousa ya chocolate
Mahitaji
Mayai 2
Sukari 1/2 kikombe
Siagi au Samli 1/2 kikombe
Nazi kavu 1/2 kikombe
Unga wa cocoa vjk via kulia 2 mpka 4
Unga wa semolina vikombe 2
Baking powder vjk 2 vya chai
Shira
Maji kikombe 1
Sukari kikombe 1
Maji ya ndimu 1/2 kjk cha chai