BAJIA ZA VITUNGUU (ONION PAKODA)

Опубликовано: 29 Март 2023
на канале: Aroma Of Zanzibar & Beyond
4,389
148

Vitafunio kutosheleza watu 2-4

Mahitaji
Kitunguu 1 kikubwa
Pilipili managa ya unga kiasi kjk cha chai 1/4 mpaka 1/2
Pilipili nyekundu ya unga kiasi kjk cha chai 1/4 mpka 1/2
Bizari ya giligilani ya unga kjk cha hcai 1/4 mpaka 1/2
Bizari ya uzile ya unga kjk cha chai 1/4 mpaka 1/2
Chumvi kiasi chako
Pilipili ya kijani kama utapenda
Majani ya kotmiri ya katwa kiasi vjk 4 vya kulia
Tangawizi mbichi ilokatwa vipande vidogo kiasi 1/2 kjk cha chai
Unga wa dengu kiasi gram 200-300
Maji kiasi vjk 2-3 vya kulia

THIS RECIPE IN ENGLISH    • CRISPY ONION PAKODA/PAKORA  
Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world