KAMBA WA KUCHOMA NA TUI LA NAZI ( WAZO LA CHAKULA CHA MCHANA)

Опубликовано: 19 Март 2023
на канале: Aroma Of Zanzibar & Beyond
2,358
97

Viungo vya kamba

Kamba 1/2 kilo
Kjk 1 cha chai kitunguu thom na tangawiizi mbichi
Pilipili ya unga nyekundu 1/4 kjk cha chai
Bizari ya manjano kjk 1/4 cha chai
Pilipili manga ya unga 1/4 kjk cha chai
Maji ya ndimu au limao
Mafuta

Mchuzi wa nazi
Mafuta
Kitunguu 1 cha kiasi
Kitunguu thom na tangawizi mbichi
Bizari ya manjano 1/2 kjk
Bizari ya unga wa giligilani 1/4 kjk
Bizari ya unga wa uzile
Pilipili nyekundu ya unga ( kiasi chako)
Ndimu au limao

UPISHI WA BAMIA
Bamia
chumvi
Pilipili manga
Bizari ya manjano
Bizari ya unga wa giligilani
Bizari ya unga wa uzile
Pilipili nyekundu ya unga
Bizari ya garam masala kama utapenda
Bizari ya Chaat Masala kama utapenda
Ndimu au limao kjk 1 cha chai
Mafuta kjk 1 cha chai
Unga wa dengu kjk 1 cha kulia
Unga wa mchele kjk 1 cha kulia
( unaweza kutumia unga wa mchele pekee au wa dengu pekee )

Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world