BAADA YA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUZUIA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA MASHULENI KUTORUDI TENA SHULENI KUENDELEA NA MASOMO
,BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA BAVICHA CHINI YA MWENYEKITI WAKE HALIMA MDEE WAMELAANI KITENDO HICHO NA KUKIITA NI MFUMO DUME ALIONAO RAISI MAGUFULI