TAARIFA ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU ZINATUFAHAMISHA KUWA ALIEKUWA MFALME WA MUZIKI WA TAARABU NCHINI ALHAJI MZEE YUSUF AMEFIWA NA MKEWE MDOGO AMBAE ANAFAHAMIKA KWA JINA LA CHIKU
CHIKU ALIFIKISHWA KATIKA HOSPITAL YA AMANA ILALA KWA AJILI YA KUJIFUNGUA AMBAPO ALIFANYIWA OPERESHENI NA BAHATI MBAYA ALIPOTEZA MAISHA YEYE PAMOJA NA MTOTO