Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo leo amepata nafasi ya ujibu maswali ya wabunge ikiwa ni siu moja tangu aapishwe na Rais Samia kwenye nafasi hiyo.
Kama ilivyokuwa kwa mwenzake Katimba, Sillo naye alishangiliwa tangu alipoitwa na Spika mpaka alipomaliza kutoa salamu zake za shukrani kabla ya kuendelea na kujibu maswali.