Fei Toto: Samatta bado muhimu kwa Stars licha ya kuomba kustaafu, afunguka ugumu mechi za ugenini

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: Mwananchi Digital
8,064
41

Kiungo mshambuliaji wa Taifa Stars, Feisal Salum 'Fei Toto', amesema kuwa suluhu waliyopata dhidi ya Ethiopia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa imewapa ari ya kupambana zaidi, wakitambua kuwa wana safari ndefu mbele yao.

Fei Toto ameongeza kuwa mechi za ugenini huwa ngumu, lakini walijipanga vizuri kama timu, wakiwemo wachezaji na benchi la ufundi, na kufanikiwa kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Guinea, katika mchezo uliofanyika Septemba 10, 2024.

Pia, Fei Toto amesisitiza kuwa bado wana kazi kubwa ya kushinda mechi zijazo ili kujihakikishia kufuzu Afcon 2025, huku akiomba Watanzania waendelee kuwapa sapoti.

Kwa upande mwingine, amesema kuwa bado wanamhitaji mshambuliaji Mbwana Samatta katika kikosi cha Taifa Stars, licha ya kuomba kustaafu.



























































#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj