Dk Mwinyi akasirishwa !! atengua uteuzi Kamishna Mkuu Bodi ya Mapato Z’bar azitaja sababu

Опубликовано: 17 Февраль 2022
на канале: Mwananchi Digital
3,216
17

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali ili kupisha uchunguzi wa kina wa upotevu wa fedha za makusanyo ya mapato zilizopotea.