Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam Eliona Kimaro ameasimulia Kifo cha Utata cha Muuza Chipsi Yusuph Deus ambaye mwili wake unadaiwa kukutwa umening'inizwa katika kibanda chake cha Chipsi huku akiwa amefariki Dunia