Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lucy Mayenga amesema wacha watu washikishe adabu kwasababu walikuwa wamezoea kudeka kwa kufanya mambo ya ajabu ikiwemo kutukana na kusema ovyo. Lucy ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma