Bunge leo limeanza kujadili bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na kimataifa, kwa mwaka wa fedha 2016/17, ambapo awali Mbunge wa viti maalum Julianza shonza alianza kwa kuwasilisha mezani taarifa ya kamati ya kudumu ya bunge.