OPERESHENI NZITO UVAMIZI WA MADANGURO MWANANYAMALA/TAZAMA MADADA POA,WALIVYOKIMBIA/MILANGO YAVUJWA
Опубликовано: 01 Январь 1970 на канале: ICON TV TZ
170,165
644
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule pamoja na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Songolo Mnyonge wamefanya Uvamizi katika eneo la Mwananyamala lenye madangulo zaidi ya 222 huku wakiwataka wamiliki wa maeneo hayo kujisalimisha polisi