Uwanja ulipamba moto, mashabiki walipigia debe timu zao, na timu zilipiga bao kwa bao. Ndoto za mashabiki zilitimia na taji la ubingwa likapamba kichwa cha Kilifi. Ni historia imeandikwa eneo la Pwani. #DolaSuperCup #SisiNiDola #KituShwari #UngaWaDola #intercountyedition