TAITA TAVETA FINALS

Опубликовано: 19 Август 2024
на канале: Unga wa Dola
57
0

#DolaSuperCup Taita Taveta Edition Finals🥳🥳Tulipambana kwa moyo mmoja na nguvu zote. Tulishuhudia mchezo wa kuvutia na wa kipekee ambao utakumbukwa kwa muda mrefu. Timu Zetu zilionesha umoja, uhodari, na mapenzi kwa mchezo, na hatimaye tulipata matokeo tunayostahili. Asanteni mashabiki wetu kwa kutuunga mkono bila kuchoka. Tutaendelea kufanya kazi kwa bidii zaidi na kujitahidi kuwa bora tunapoelekea #DolaSuperCup #IntercountyEdition.

#sisinidola #KituShwari #UngaWaDola #DolaSuperCup