CJMUSIC We Share!!!
Song: "UWEPONI MWAKO"
Featured_Musician: Joel Alfredy
Wimbo huu umefanywa kwenye Key A, waweza SLOW-DOWN video hii na kuchukua chord changes baadhi na Movements ukazitumia kwenye nyimbo hii au wimbo mwingine endapo utakuwa umeelewa application yake.
SUBSCRIBE SUBSCRIBE channel hii tuendelee kujifunza zaidi.
@CJMusic2019