CJMusic We Share!!
Karibu uangalie na kujifunza Movements mbali mbali na approaches kupitia wimbo huu wa Kuabudu "Nafsi yangu ya kutamani"
Movements zinazopigwa kwenye wimbo huu waweza kuzi apply kwenye nyimbo zingine hasa kama utakuwa umeelewa matumizi ya movements hizo.
Tafadhari support channel hii kwa kubonyeza "SUBSCRIBE BUTTON" ili usipitwe na mambo yajayo!
@CJMusic2019