#breakingnews #mahakama #raissamia #2gendahtvonline
Msanii wa nyimbo za asili ya Kisukuma,Dawa Juma,mkazi wa kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita,amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais Samia Suluhu Hassan.
Chanzo ; Jamhuri