Mwangaza wa mafanikio wazidi kuimurika Tanzania one theatre (TOT) baada ya katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi Mh. Amos Makala kufika ofisi hizo na kufanya kikao na watumishi wa hapo Mwananyamala jijini Dar Es Salaam, leo Alhamis, Oktoba 31, 2024.