Wanaharakati watatu waitaka mahakama kuharamisha mawaziri wa Rais kwa kukiuka vipengee vya katiba

Опубликовано: 30 Август 2024
на канале: NTV Kenya
3,215
9

Wanaharakati watatu wanaitaka mahakama kuharamisha baraza la mawaziri la Rais William ruto kwa kukiuka vipengee kadhaa vya katiba. Eliud Karanja, daktari Magare Gikenyi na seneta wa busia Okiya Omtatah wanataka mahakama kuwazuia mawaziri husika kufanya kazi zozote afisini hadi kesi iamuliwe.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya