DC Sabaya Aibua Madudu Kwenye Kahawa Wawili Wadakwa

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: Global TV Online
108,197
386

DC Hai Aibua Madudu Kwenye Kahawa

MKUU wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kwa watu wawili ambao wanadaiwa kuhujumu uchumi kwa kukwepa kodi na kwenda kinyume na maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Kilamanjaro, Bi Anna Mghwira.

DC Sabaya amefikia uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaofanya kazi katika kampuni ya Trevvo inayolima kahawa ambayo imefanya ujanja wa kutumia kampuni nyingine kuuza kahawa hiyo kitu ambacho ni kinyume na sheria.

Kufuatia malalamiko hayo, DC Sabaya, pia ameagiza kusimamishwa kwa kiwanda hicho kisiendelee kufanya kazi mpaka pale muafaka utakapopatikana.

#DCSABAYA

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:

www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...