UNYAMA! Amchinja Mkewe, Anywesha Damu Watoto!

Опубликовано: 30 Август 2018
на канале: Global TV Online
60,979
163

UNYAMA! Amchinja Mkewe, Anywesha Damu Watoto!

Mkazi mmoja wa kitongoji cha Msiriganyi kilichopo katika kijiji cha Kiroreli kata ya Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, Nyakwanga Makongoro (48) kwa tuhuma za kumuua kinyama mkewe, Samsoni Chamriho (24) kwa kumkatakata kwa mapanga kichwani kutokana na wivu wa kimapenzi.

Tukio hilo la kinyama lililotokea usiku wa manane Agosti 16 mwaka huu nyumbani kwa wanandoa hao.

Shuhuda mmoja kutoka eneo la tukio alisema wanandoa hao siku ya tukio walizozana baada ya mtuhumiwa huyokutoka matembezini mapema kuliko ilivyokuwa kawaida yake ya kurudi usiku.

“Baada ya kufika nyumbani kwake alianza kumhoji mkewe juu ya taarifa alizokuwa amezisikia kuwa anatembea na mwanamume mmoja (jina linahifadhiwa) ambaye ni jirani yao.

“Mkewe alikataa na baada ya majibishano makali yaliyoibuka juu ya wanandoa hao mke akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mtu yeyote kijijini hapo akiwemo jirani huyo ambaye mumewe alikuwa akimhisi.

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1    / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .