MBUNGE NEEMA LUGANGIRA AIBUA MJADALA BUNGENI''MAMILIONI KILA MWEZI KUTUMIKA KULISHA MAHABUSU'''

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: KAYUNI ONLINE TV
242
3

MBUNGE
wa Viti Maalumu CCM kupitia Kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Mhe Neema
Lugangira akizungumza wakati akichangia mchango wake Bungeni Jijini
Dodoma wa kuboresha Mpango wa
Maendeleo ya Taifa uliojikita kuishauri Serikali kupunguza gharama kubwa
ya kuwalisha chakula mahabusu ili fedha zitakazookolewa zielekezwe
kwenye utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo