MBUNGE MWANDABILA Akutana na WANAWAKE, Awapa SOMO kuhusu MIKOPO..

Опубликовано: 12 Декабрь 2020
на канале: Global TV Online
456
0

MBUNGE MWANDABILA Akutana na WANAWAKE, Awapa SOMO kuhusu MIKOPO..

Mbunge viti maalumu kutoka mkoani Songwe Neema Mwandabila amewataka wanawake kutotumia kigezo cha ujane kuwa ombaomba.

Badala yake watumie michango wanaochangia katika Vicoba kukopa fedha za 10% kutoka katika halmashauri kwa lengo la kukuza mitaji yao..

Mbunge Mwandabila ametoa kauli hiyo alipofanya ziara ya kuwatembelea wanawake katika Kata ya Itumba wilayani Ileje Mkoa Songwe.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline