MAAJABU: MAWE YENYE NGUVU za UMEME YAPATIKANA CONGO, YAWASHA BALBU...

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: Global TV Online
2,990
18

MAAJABU: MAWE YENYE NGUVU za UMEME YAPATIKANA CONGO, YAWASHA BALBU...

Huenda bado vitu vingi havijagundulika duniani pamoja na kwamba dunia imezeeka sana kwani ina umri wa miaka bilioni 4.6.
Sasa taarifa ikufikie kwamba, kuna video zinazosambaa mitandaoni zinaonesha mawe ambayo yanatoa miale ya moto au umeme yanapogusana na hata kutumika kuwasha balbu.

Gramu moja ya jiwe hilo lenye nguvu za umeme inaaminika inaweza kuwasha balbu kwa zaidi ya saa 72.

Watafiti wamegundua kuwa mawe hayo yanaweza kuhifadhi nishati ya umeme na kuifanya kuwa chanzo cha nguvu za umeme.
Mawe hayo yanapatikana katika Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Mawe hayo yanapatikana katika eneo la Katanga nchini Congo na yamefanyiwa utafiti mwingi.

Video zinazosambaa mitandaoni zinaonesha mawe hayo yakitoa miale ya moto yanapogusana na hata kutumika kuwasha balbu. Upatikanaji huo umewaacha watafiti kote duniani wakijikuna vichwa wakijaribu kubaini ni vipi mawe hayo yana uwezo wa kutoa umeme?

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline