KIFO CHA NDIKUMANA: Uwoya Hoi! Aishiwa Nguvu, Vilio Vyatawala Msibani!

Опубликовано: 15 Ноябрь 2017
на канале: Global TV Online
99,158
184

Subscribe    / uwazi1  

Wasanii mbalimbali wamejitokeza nyumbani kwa msanii wa filamu, Irene Uwoya kumpa pole za kufiwa na aliyekuwa mumewe, Ndikumana Hamad aliyefariki leo.

Mastaa hao wamekusanyika nyumbani kwake maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar es Salaam ambapo miongoni mwa mastaa hao, ni Video Queen, Agness Gelard ‘ Masogange’ na wasanii wengine chipukizi.

Masogange, mbali na kuwepo msibani hapo lakini alionekana kukwepa mapaparazi baada ya kuwaona wakifanya kazi yao.

Kwa upande wa familia, walipotakiwa kuzungumzia taratibu za msiba huo, walidai kuwa bado kwa sasa hawawezi kuzungumzia chochote labda hadi hapo baadaye.




FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .