MUNGU WANGU! Binti Huyu ANATESEKA Sana, Miaka 6 KITANDANI, Tumsaidie!

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: Global TV Online
12,320
79

MUNGU WANGU! Binti Huyu ANATESEKA Sana, Miaka 6 KITANDANI, Tumsaidie!

Inasikitisha sana, Binti Adelina Peter anaesumbuliwa na nyonga kwa muda wa miaka sita mpaka sasa hali iliopelekea mguu wake mmoja kulemaa kutokana na maumivu hayo

Kupitia kipindi cha Global jamii, Watanzania walimsaidia pesa kwa ajili ya kuanza matibabu na akafanikiwa kwenda katika hospitali ya Taifa Muhimbili na baadae Moi ambapo majibu yalitoka mfupa wake wa nyonga unamatobo hivyo inabidi achukuliwe kipimo katika eneo hilo. Kufikia hapo pesa zikawa zimeisha na kwa sasa yupo nyumbani.