#KAPULAMAMA #BOXLABABA
Hii kali Baada ya Kapu la Mama/ Box la Baba Ndani!!
Imezoeleka Sana kwenye sherehe nyingi hapa nchini kumekuwa kuna kawaida ya Mama kupewa zawadi na ndugu au waalikwa kwenye sherehe mbali mbali na Baba kusahaulika.Arusha wao wamekuwa tofauti sasa wameanzisha Rasini zawadi maalumu kwa ajili Baba nakuiita Boxi la Baba ambalo baba anapewa zawadi na wageni waalikwa kama ilivyo kwa Baba.
bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .