KIFO CHA BABA YAKE: Mtoto wa Uwoya Anavyotia Huruma!

Опубликовано: 15 Ноябрь 2017
на канале: Global TV Online
139,742
271

Subscribe    / uwazi1  
KIFO CHA BABA YAKE: Mtoto wa Uwoya Anavyotia Huruma!

MTOTO wa muigizaji Bongo, Irene Uwoya, Krish Ndikumana amewahuzunisha watu wengi waliohudhuria matanga ya msiba wa baba yake mzazi, Hamad Ndikumana 'Kataut' kutokana na ukiwa aliouonesha.

Akiwa kando na manii wa filamu Bongo, , Mike Sangu ambaye alitumia muda mrefu kumkingia kifua Uwoya dhidi ya watu wanaosema na kuandika maneno machafu, Krish alionkana mkimya asiyejua kinachoendelea lakini uso na siha yake vikiwakilisha huzuni na simanzi ya asili kutoka ndani ya moyo.

Katika mahojiano maalum na Global TV Online, nyumbani kwa Uwoya, Sinza -Mori jijini Dar, Mike Sangu alisema: "Kuna watu wanaandika mambo ya kijinga sana kuhusu Uwoya, hebu watambue kwamba Uwoya yuko kwenye maumivu ambayo mtu yeyote anaweza kuyapata hivyo ni lazima tuache kusema na kueneza mambo ambayo hayana maana yoyote, muacheni Uwoya kwani yuko kwenye kipindi kigumu sana cha maisha yake.”

FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .