Sunday Manara: "YANGA Inajitosheleza kwa kila Kitu"
Nyota wa Zamani wa klabu ya Yanga ambaye kwa sasa amestahafu soka Sunday Ramadhani Manara (Computer) amesema kuwa kipindi hiki ambacho klabu ya Yanga inaelekea kwenye uchaguzi mkuu inapaswa kuwa makini kuchagua kiongozi ambaye ataifikisha timu mahali inapo takiwa kufika ilii kufikia malengo yao
Hata hivyo Sande Manara amesema klabu ya Yanga inauwezo mkubwa wakujiendeleza kutokana na ukubwa wa klabu hiyo na idadi ya wanachama waliyo nao ilii kuifikisha timu inapo takiwa
#YOUNGSPORTSCLUB #MANARA
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho