MAGONJWA HATARI YALIYOTIKISA DUNIA NA KUUA MAMILIONI YA WATU
'THE BLACK DEATH' Ni Ugonjwa ulioathiri zaidi bara la ulaya na ukanda wa mediterania miaka ya 1346 hadi 1353, ambapo watu zaidi ya milioni 200 walifariki kutokana na ugonjwa huo.
Ugonjwa huo husababishwa na bakteria anayejulikana kitaalam kama “Yersinia pestis”, bacteria ambao hupatikana katika baadhi ya wanyama wadogo kama panya, paka, mbwa wenye viroboto.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania