Subscribe / uwazi1
MAHAKAMA ya Kisutu imemhukumu Bob Chacha Wangwe kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya Sh. Milioni 5 kwa kupatikana na hatia ya kuchapisha taarifa ya uongo Facebook alikoandika: “Haiwezekani Znz kuwa koloni la Tanzania Bara kwa sababu za kijinga”.
Habari kutoka mahakamani zinasema ndugu wa Wangwe wanachanga fedha hizo ili kumnusuru na adhabu ya kwenda jela.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .