Spika Baada ya Kupokea Ripoti ya Uchunguzi wa Mafuta na Gesi

Опубликовано: 01 Январь 1970
на канале: Global TV Online
3,811
15

Spika Baada ya Kupokea Ripoti ya Uchunguzi wa Mafuta na Gesi

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Juni 02, 2018 anapokea taarifa ya kamati maalum ya uchunguzi kuhusu mafuta na gesi .

Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya Gesi Asilia, Dunstan Kitandula amesema wamebaini madudu yanayoisababisha Serikali hasara ya Sh 291 bilioni sawa na bajeti ya wizara nne, akiwemo mfanyakazi mmoja wa kampuni ya Payeti anayelipwa mshahara wa Sh 96 milioni kwa mwezi.

Hayo yamebainishwa na kamati hiyo iliyochunguza rasilimali za gesi asilia iliyoundwa na Spika Job Ndugai ambayo leo Jumamosi Juni 2, 2018 imewasilisha taarifa yake ya uchunguzi kwa kiongozi huyo wa Bunge mjini Dodoma.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya taarifa za kamati hiyo, Kitandula amesema wamebaini kuwepo kwa baadhi ya wafanyakazi kutoka nje ya nchi wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye kampuni hizo ikilinganishwa na Watanzania.

Kitandula ameongeza kuwa baadhi ya masharti kikwazo yaliyopo katika mikataba hiyo ni pamoja na tozo na ada mbalimbali, vifungu vinavyolazimisha akaunti za kampuni hizo kufunguliwa nje ya nchi na utaratibu wa kutatuliwa migogoro nje ya nchi na sharti.

Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  .

TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .