Subscribe / uwazi1
Wafanyakazi wa Global Tv Online, wanawatakia watazamaji wote na wadau wa Global Tv maandalizi mema ya kusheherekea sikukuu ya Christmas na Heri ya mwaka mpya wa 2018.
"Asanteni kwa kuwa wadau wetu na kuifuatilia Global Tv Online, mchango wenu ni mkubwa sana na tunauthamini, Tunawaomba radhi kama kuna sehemu tuliyokosea kwa mwaka 2017, tumejipanga vyema kuendelea kuwahabarisha kwakina zaidi kwa mwaka utakaoanza wa 2018, Tunaomba muendelee kutusapoti na tunawapenda sana" Global Tv Online
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .