INAUMA: Mtoto Asimulia 'ALIVYOBAKWA' na Mwalimu Chooni

Опубликовано: 30 Январь 2019
на канале: Global TV Online
2,065
3

INAUMA: Mtoto Asimulia 'ALIVYOBAKWA' na Mwalimu Chooni

Vitendo vya Wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari kubakwa na wengine kujiingika katika mahusiano ya kimapenzi na walimu wao vitendo hivyo vimekidhiri katika jamii.

kutokana na Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Bwanga iliyopo wilayani Chato mkoani Geita kubakwa na mwalimu wake Chooni
Global tv imezungumza na Mtaalamu wa masuala ya Kijamii Mwl.Nchilu Kiyumbi amesema vitendo hivyo vinatokana na ukosefu wa maadili pamoja na tamaa.

Mwl.NChilu amesma jamii inatakiwa kufichua vitendo hivyo pamoja na kuwaelimisha watoto wa namna bora ya kuishi na walimu wakiwa shuleni ili kuepusha watoto wa kike kubakwa na kupata mimba wasizotarajia.

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho